Fursa za Uwekezaji katika sekta ya Maliasili: Ufugaji Nyuki.
Zao: Uzalishaji wa Asali na Nta.
Eneo linalokusudiwa: Uwepo wa ardhi kiasi cha hecta 100,000 katika vijiji vyote ikiwepo vya Halmashauri ya Arusha.
Hali ya Soko: Asali na nta ni hitaji kubwa la jamii
Soko lililolengwa: jamii na wahitaji wa nje ya eneo
Mapendekezo ya Uwekezaji: Wawekezaji wote kuweza kutumia Technolojia ya kisasa katika kuvuna na kurina asali
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.