Halmasahuri ya Arusha Inafanya zoezi la siku moja la kutoa chanjo ya vidonge kwa ajili ya kinga tiba kwa ajili ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ya Minyoo tumbo na Kichocho kwa watoto wa kuanzia umri wa miaka 5 mpaka 14 katika shule 128 za halmashauri ya Arusha.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.