Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh. Alexander Pastory Mnyeti akipokea Mwenge wa Uhuru 2017 kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Longido Mh. Daniel Chongolo kwenye eneo la Ofisi za Kata ya Oldonyowas tayari kwa kuukimbiza katika Halmashauri ya Arusha na siku ya pili kuukimbiza katika Halmashauri ya Meru.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.