• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Uchaguzi

Kitengo cha uchaguzi ni miongoni mwa vitengo sita vilivyopo chini ya Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Kinafanya kazi kwa kufuata kanuni na taratibu za Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi. Kitengo cha uchaguzi kina Afisa mmoja (Afisa uchaguzi) anayehusika na shughuli zote zinazohusiana na uchaguzi.


Majukumu makuu za kitengo cha uchaguzi


•Kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unaendeshwa katika mazingira ya uhuru, haki na amani.

•Kuwezesha, kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura na kupitia orodha  ya wapiga kura walioandikishwa katika Daftari la Mpiga kura.

•Kuwezesha, kusimamia,na kuendesha  uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge, na uchaguzi wa serikali za mtaa.

•Kuhakikisha ngazi zote za uongozi zina wawakilishi kama kanuni zinavyotaka.

•Kupiti mipaka yote ya majimbo/maeneo ya uchaguzi nchini kwa lengo la uchaguzi Mkuu na uchaguzi wa serikali za mitaa.

•Kuwezesha na kuhamasisha jamii juu ya masuala ya uchaguzi.

•Kusimamia na kufanya kutathmini mchakato wote wa uchaguzi katika maeneo ya uchaguzi..



MAFANIKIO

Kuratibu zoezi la uandikishaji wa wapiga kura ambapo Mwaka 2015, 79,603 (wanaume 42,382, wanawake 37,221) watu waliokidhi vigezo waliandikishwa katika daftari la kudumu la wapiga kura.

Kuwezesha na kuzimamia Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika mwaka 2014; Wenyeviti 68,  wenyeviti wa vitongoji 256, na wajumbe wa baraza la kijiji walichagulia.

Kuwezesha na kusimamia uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge wa Mwaka 2015 ambapo madiwani 27 walichaguliwa, nafasi 9 wanawake viti maalumu waliteuliwa na mbunge 1 alichaguliwa.


Tathmini iliyofanyika baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 na kuonesha mapungufu kwa baadhi ya nafasi za uongozi kutokana na viongozi waliochaguliwa kukosa na sifa za kuendelea kuwa viongozi kutokana na sababu mbalimbali kama vile kifo, kujiuzulu na/au kukuta rufaa. Hali hiyo ilipelekea kufanyika wa Uchanguzi wa Marudio kwa nafasi za Diwani mmoja Wenyeviti wa Vijiji 6, Wenyeviti wa Vitongoji 11 na nafasi 297 wajumbe wa Serikali ya Kijiji. Uchaguzi huo ulifanyika Januari,2017.Kitengo kinaendelea kuhakikisha kwamba nafasi zote za uongozi zinazobainika kuwa wazi zinapata wawakilishi wa wananchi kama sheria na kanuni zinavyoelekeza.


Pamoja na mafanikio yaliyopatikana Kitengo kinakabiliwa na changamoto kama vile:-

•Upungufu wa majengo ya kudumu ya serikali yanayoweza kutumika kama vituo vya kupigia kura nyakati za uchaguzi.

•Upungufu wa maafisa.

•Upungufu wa vitendea kazi.

•Kuwepo kwa mkanganyiko wa kati ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha na Halmashauri ya Jiji.

•Kutokuwepo na uelewa kwa wanajamii kuhusiana na masuala ya uchaguzi na haki yao. Kwa mfano, wananchi wengi waliojitokeza katika kipindi cha kujiandikisha walitaka vitambulisho tu na siyo kwa ajili ya kupiga kura.

•Kujiuzulu kwa viongozi waliochaguiwa pasipo sababu.

•Wananchi kukiuka sheria na taratibu kwa kukusudia.


Kitengo  kinaendelea kuratibu masuala ya uchaguzi kwa muongozo wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania , 1977 na sheria na taratibu za Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa kuhakikisha kuna uhuru, haki na amani  katika uchaguzi wa vyama vingi katika chaguzi zote.






Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI WA NAFASI ZA UDEREVA TAREHE 28/12/2018 December 19, 2018
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI TAREHE 1-7, AGOSTI 2020. July 31, 2020
  • TANGAZO KWA WANANCHI WOTE MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI 2O20/2021 TAREHE 29.01.2021 January 29, 2021
  • KINGA TIBA YA KICHOCHO NA MINYOO YA TUMBO KWA WATOTO MIAKA 5-14 March 02, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DC ARUMERU ATEMBELEA MAENEO YALIYOPATA MADHARA YA MVUA ARUSHA DC..

    March 24, 2023
  • MVUA KUBWA YALETA MADHARA ARAFA YA MUKULAY ARUSHA DCA DC

    March 24, 2023
  • MVUA KUBWA YALETA MADHARA ARAFA YA MUKULAT ARUSHA DC

    March 24, 2023
  • DC ARUMERU AFANIKISHA MCHANGO WA MAZIWA YA MTOTO KWA KAYA ILIYOBOMOKEWA NYUMBA OLMOTONY

    March 24, 2023
  • Tazama zote

Video

MFUGAJI AKIELEZEA FAIDA ZA UHIMILISHAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA - BANDA LA MIFUGO ARUSHA DC
Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.