Friday 9th, May 2025
@VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI ILBORU
Na. Elinipa Lupembe.
Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Kimataifa 2021, katika Halmashauri ya Arusha yatafanyika siku ya Jumatatu tarehe 11.10.2021 kwenye viwanja vya shule ya Msingi Ilboru.Mgeni rasmi katika siku hiyo muhimu kwa Mtoto wa Kike, anatarajiwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha Ndugu, SELEMAN MSUMI.
Kauli Mbiu ya mwaka 2021: 'KIZAZI CHA KIJIDITALI,KIZAZI CHETU'.
Maadhimisho hayo yatafanyika kwa Udhamini wa Shirika la CWCD - Tanzania.
NYOTE MNAKARIBISHWA !!!!
ARUSHA DC
Kazi inaendeleaa....✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.