Friday 9th, May 2025
@VIWANJA VYA BALBAL KATA YA OLOIRIEN
Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, anawakaribisha wananchi wote kushiriki kwenye Maadhimisho ya SIKU YA UKIMWI DUNIANI, yatayofanyaki kesho tarehe 01.12.2021 kwenye viwanja vya BALBAL kata ya Oloirien.
Wote mnakaribishwa ✍✍
Kauli Mbiu ya mwaka 2021: "Zingatia Usawa, Tokomeza UKIMWI,Tokomeza magonjwa ya Mlipuko"
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.