TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI.
Ili kupata kibali cha ujenzi unatakiwa kufanya yafuatayo:
1:Uwe na michoro(Archtectual drawing and structural drawing)
2.Michoro hiyo lazima iwe imepitishwa na mamlaka husika au mtu binafsi aliyesajiliwa na body ya AQRB au ERB
3.Awe na muhtasari wa kijiji au kitongoji unaoonyesha kiwanja chake pamojana mikataba ya mauziano au awe na HATIMILIKI
4.Alipie malipo ya Tsh. 150/= kwa square mita moja kupitia nambari ya akaunti 40801200347 NMB BANK.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.