• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

CCM ARUMERU YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJIBWA ILANI ARUSHA DC...

Posted on: July 26th, 2023

Na Elinipa Lupembe


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, wilaya ya kichama Arumeru Komredi Noel Severe, amekiri kuridhishwa na utekelezaji wa Ilani ya chama hicho, halmashauri ya Arusha

Mwenyekiti huyo amekiri hayo wakati wa uzinduzi wa jengo la maabara ya Masomo ya Sayansi shule ya sekondari Oldonyowas, mradi uliotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF.

Komredi Severe ameweka wazi kuwa, serikali yaawamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo  kisekta katika halmashaui ya Arusha, serikali ikiwa na mategemeo makubwa ya matokeo ya miradi hiyo kwa wananchi.

Aidha Mwenyekiti huyo ameweka wazi kurishishwa na utekelezaji wa mirai yenye kuzingatia viwango vya ubora unaoendana na tahamani halisi ya fedha zinazotolewa na serikali, ikiwa ni utekelezaji wa Ilana ya CCM ya 2020

"Ninapongeza kazi nzuri mnazozifanya na watalamu katika usimamizi wa miradi ya maendeleo, miradi ni mizuri inayozingatia viwango vya ubora kulingana na thamani ya fedha 'value for money' na kutoa matokeo chanya ya utoaji na upatikanaji wa huduma kwa wananchi, hii nidhahiri  tunamuunga mkono Mhe. Rais, katika utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020, ninawapongeza sana watalam na wananchi kwa ujumla"Ametoa pongezi hizo

Hakusita pia kuwapongeza wananchi kwa ushiriki wao katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kwa kujitolea nguvu kazi kwenye shughuli za ujenzi, pamoja na usimamizi wa miradi inayotumia 'force akaunti' huku mafundi wazawa wakijitoa kwa hali na mali kutekeleza miradi hiyo bila kujali kiasi cha pesa wanachokipata

Hata hivyo amewasisitiza wanafunzi kusoma kwa bidii, kwa kuwa lengo la serikali inayoongozwa na CCM ni kuhakikisha kila mwanafunzi anapata elimu ya msingi kuanzia darasa la awali mpaka kidato cha nne bila malipo na katika maeneo karibu na nyumbani, na tayari serikali imekwisha tekeleza jukumu hilo.

Ameongeza kuwa hapo awali jamii za kimaasai watoto wa kike hawakupata fursa ya kupata elimu ya sekondari, kutokana na mila na desturi lakini pia uchache wa shule kwa wakati huo, ameongeza kuwa kwa sasa serikali imejenga shule za sekondari kila kata, zilizotoa fursa kila mtoto kupata nafasi ya masomo ya sekondari. 

"Niwatie moyo wasichana, someni kwa bidii, wanawake mnaweza, hakikisheni mnatumia fursa hii adhimu, someni kwa bidii sana, na kufikia ndoto zenu, tunatarajia kupata watalamu wa fani mbalimbali hapa na viongozi wengi wa ngazi tofauti". Amesisitiza Mwenyekiti huyo wa CCM.

Mradi wa ujenzi wa jengo la maabara mbili za somo la Fizikia na Jiografia, umetekelezwa kwa gharama ya shilingi milioni 99.7 fedha kutoka serikali Kuu kupitia Mfuko wa Maendelei ya Jamii TASAF.

Ikumbukwe kuwa uboreshaji wa miundombinu ya shule na ujenzi wa maabara ni utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2022 sura ya tatu, Ibara ya 80, Kifungu (a)Kujenga na kukarabati miundombinu ya elimu pamoja na kuhifadhi na kuendeleza mazingira ya shule hizo; kifungu  na kkifung (d)Kuimarisha ufundishaji wa masomo ya sayansi yakiwemo Hisabati,Fizikia, Kemia na Baiolojia na kkuongeza upatikanaji wa walimu wa kufundisha masomo hayo.


ARUSHA DC NI YETU, TUSHIRIKIANE KUIJENGA



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.