• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

CHUO KIKUU MZUMBE CHASHIRIKI UJENZI WA SHULE MPYA SEKONDARI KISERIANI

Posted on: February 11th, 2020

Na Elinipa Lupembe.

Wadau mbalimbali wa Elimu nchini, wameendelea kujitokeza, siku hadi siku, kuchangia sekta ya Elimu, katika Halmashauri ya Arusha, lengo likiwa ni kuboresha na kuweka mazingira rafiki ya kufundishia na kujifunzia, sambamba na kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano inayo toa Elimu bila malipo.

Chuo kikuu cha Mzumbe, kimeingia makubaliano na wananchi wa kijiji cha Kiseriani kata ya Mlangarini Halmashauri ya Arusha, kuanzisha ujenzi wa mpya ya sekondari Kiseriani kwa  kujenga vyumba vinne vya madarasa, ofisi za walimu, pamoja na vyoo.

Miundombinu hiyo ya Elimu, imegharimu kiasi cha shilingi milioni 150, fedha zilizotolewa na chuo kikuu cha Mzumbe, zikiwa ni fidia ya shamba lililotolewa na kijiji cha kiseriani kwa chuo kikuu hicho.

Afisa Elimu sekondari Halmashauri ya Arusha mwalimu Medad  Lupenza, amepongeza uongozi wa chuo kikuu cha Mzumbe na kijiji cha kiseriani, kwa kufanya makubaliano hayo muhimu kwa sekta ya elimu, makubaliano ambayo yameleta mapinduzi ya kielimu  katika eneo ambalo, hapo awali halikuwahi kuwa na na shule ya sekondari.

Amethibitisha kuwa, watoto wa kijiji cha Kiseriani, walilazimika kutembea umbali wa zaidi ya kilometa 10 kufata shule ya sekondari iliyo kijiji cha Mlangarini, umbao ambao ulikwamisha maendeleo ya kitaaluma kwa watoto wengi, na kuongeza kuwa, uwepo wa shule hiyo umeondoa adha hiyo kwa watoto wa kijiji hicho.

Aidha amesema kuwa, tayari Halmashauri, imeanza mchakato wa awali wa kusajili shule hiyo, na baada ya kukamilika wanafunzi, wataanza kupata Elimu shuleni hapo.

Hata hivyo wananchi wa Kiseriani tayari wameanza ujenzi wa maabara ya masomo ya sayansi ili kukidhi vigezo vya shule hiyo kisajiliwa.





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.