• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Arumeru Jerry Muro aapishwa na kuahidi kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi

Posted on: July 31st, 2018

Na. Elinipa Lupembe.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, mheshimiwa Jerry Muro amekula kiapo,  cha kuanza rasmi kuitumikia nafasi hiyo ya ukuu wa Wilaya, mara baada ya kuteuliwa na mheshiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mkuu huyo wa Wilaya amekula kiapo cha utii, mbele ya mkuu wa mkoa wa Arusha, mhe. Mrisho Gambo, huku akiahidi kutekeleza kwa kasi, Ilani ya Chama cha Mapinduzi - CCM na kuwataka viongozi wa wilaya hiyo kwenda pamoja na kuwaonya, wasiotaka kutekeleza Ilani hiyo, kuachia ngazi mapema.

"Nimekuja Arumeru kuwatumikia wananchi, kama Ilani ya uchaguzi ya CCM inavyoelekeza nipo tayari kuitekeleza, kwa yoyote asiyetaka kutekeleza ilani ya CCM aondoke kabla sijaingia ofisini" amesisitiza Mkuu huyo wa Wilaya.

Akizungumza mara baada ya kuwaapisha wakuu wa wilaya za Arumeru na Longido, mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, amewataka viongozi hao kutumia busara na hekima, wakati wa kutoa maamuzi, yanayohusiana na changamoto zinazoikabili jamii ya watanzania, kwenye maeneo yao ya kazi.

 Mhe. Gambo ametaja  changamoto kubwa inayoikabili wilaya ya Arumeru ni  migogoro ya ardhi, na kumtaka mkuu huyo wa Wilaya, kutatua changamoto hiyo kwa kuzingatia miongozo, kanuni na sheria za serikali huku akiongozwa na hekima na busara.

Kwa upande wake mkuu wa Wilaya ya Longido, mhe. Frank Mwaisumbe  amemshukuru rais kwa kumteua na kuahidi kuchapa kazi.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.