• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DED ARUSHA DC AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUSHIRIKI MICHEZO

Posted on: October 10th, 2021

Na.Elinipa Lupembe

Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha Seleman Msumi, amewataka watumishi wa Umma kushiriki michezo, kwa kuwa michezo inafaida nyingi kiafya, inajenga mahusiano mazuri ikiwa ni pamoja  ushirikiano, umoja,  upendo, katika maeneo ya kazi.

Mkurugenzi Msumi ameyasema hayo wakati wa maandalizi ya mchezo wa kirafiki kati ya timu za watumishi wa halmashauri ya Arusha na timu ya watumishi wa Halmashauri ya Meru zote za wilaya ya Arumeru, mashindano yaliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita, kwenye viwanja vya Viwanja vya Ngarenaro Complex vya Jijini Arusha.

Mkurugenzi huyo ameeleza umuhimu wa michezo kwa watumishi wa umma, kuwa ni pamoja na kuimarisha afya zao, kujenga upendo na ushirikiano baina yao, pamoja na kuondoa msongo wa mawazo unaotokana na kazi nyingi, zinazosababisha watumishi kutumia muda mwingi kutekeleza majukumu yao ya kikazi.

"Watumishi mnapaswa kufahamu, michezo huimarisha utendaji kazi, michezo ni afya, michezo ni furaha, amani na upendo, baada ya kutekeleza majukumu ya kazi, niwatake watumishi wote kujitokeza kushiriki michezo, jambo ambalo litamfanya mfanyakazi 'kurelax' na kuondoa msongo wa mawazo pamoja na kujiimarisha katika utekelezaji bora wa majukumu yake ya kikazi" amesisitiza Mkurugenzi huyo.

Aidha, mkurugenzi huyo amewahimiza wachezaji wa timu ya halmashauri yake ya Arusha, kuiwakilisha vema halmashauri hiyo, kucheza kwa umakini na kutumia mbinu zote walizofundishwa na walimu wao, ili kuzipatia tiimu zao ushindi dhidi ya wapinzani wao wa halmashauri ya Meru.

Hata hivyo baada ya mashindano hayo kufanyika, kwa matokeao ya jumla halmashauri ya Arusha, ilibuka kidedea dhidi ya wapinzani wao wa halmashauri ya Meru. 

Afisa Michezo halmashauri ya Arusha, Priscus Silayo, amethibitisha kiwa,  timu ya halmashauri ya Arusha, kufanya vema katika michuano hiyo, huku akiweka wazi matokeo ya michezo iliyofanyika kuwa ni pamoja na mpira wa miguu, ambapo timu ya Arusha Dc na Meru Dc zilitoka sare kwa kufungana goli 2-2, wakati mpira wa Pete  matokeo yalikwa sare kwa kufungana magoli 8-8, huku mpira wa Wavu,  timu ya Arusha Dc ikiibuka kidedea kushindi wa seti 2 kwa sufuri na kuwalaza mahasimu wao wa Meru DC.

Arusha DC hatujawahi kushindwa

Win#win#

#kaziiendelee# ✍✍

PICHA ZA MATUKIO


Picha ya pamoja, Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi ( mwenye truck suit nyekundu)  na wachezaji wa timu ya watumishi wa halmashauri ya Arusha, muda mfupi kabla ya kuanza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya watumishi wa halmashauri ya Meru, michezo iliyofanyika kwenye viwanja vya Ngarenaro Complex vya Jijini Arusha.


Picha ya pamoja, Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi ( mwenye truck suit nyekundu)  na wachezaji wa timu ya Mpira wa Pete, halmashauri ya Arusha, muda mfupi kabla ya kuanza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya watumishi wa halmashauri ya Meru, michezo iliyofanyika kwenye viwanja vya Ngarenaro Complex vya Jijini Arusha.



Picha ya pamoja, Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi ( mwenye truck suit nyekundu)  na wachezaji wa timu ya Mpira wa Miguu, halmashauri ya Arusha, muda mfupi kabla ya kuanza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya watumishi wa halmashauri ya Meru, michezo iliyofanyika kwenye viwanja vya Ngarenaro Complex vya Jijini Arusha.


Picha ya pamoja, Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi ( mwenye truck suit nyekundu)  na wachezaji wa timu ya Mpira wa Wavu, halmashauri ya Arusha, muda mfupi kabla ya kuanza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya watumishi wa halmashauri ya Meru, michezo iliyofanyika kwenye viwanja vya Ngarenaro Complex vya Jijini Arusha.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.