Na Elinipa Lupembe
Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, anawatakia kila la Kheri wanafunzi wote wanaofanya Mtihani wa Taifa wa kuhitimu kidato cha 4 unaoanza tarehe 14.11.2022.
Mtihani huo ni upimaji wa ujuzi na maarifa kwa muda wa miaka minne unaokwenda kutoa taswira na mwelekeo wa wanafunzi kuelekea kuzifikia ndoto zao, ninawatakia kila lenye kheri katika safari ya masomo". Amesema Mkurugenzi Msumi
MWENYENZI MUNGU AWASIMAMIE
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.