Na Elinipa Lupembe
Maendeleo ya ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa shule ya Sekondari Einoth yanaenda kwa kasi, ujenzi ukiwa katika hatua ya kupandisha kuta.
Mradi huu unajumuisha vyuma 4 vya madarasa, viti, meza na Ofisi mbili za walimi kwa gharamua ya shilingi milioni 80, fedha kutoka Serikali Kuu, maarufu kama 'POCHI LA MAMA', ikiwa ni maandalizi ya kupokea wananfunzi wa kidato cha kwanza, watakaopangiwa kwa mwaka wa masomo utakaoanza Januari 2023.
ARUSHA DC
KaziInaendelea✍✍
PICHA ZA MAENDELEO YA UJENZI
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.