• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

JUMLA YA WANAMICHEZO 120 KUWAKILISHA ARUSHA DC, UMISETA NGAZI YA MKOA.

Posted on: May 12th, 2023

Na Elinipa Lupembe


Jumla ya wanamichezo 120 wamechaguliwa kuiwakilisha halmashauri ya Arusha kwenye mashindano ya wanafunzi wa shule za sekondari -  UMISETA ngazi ya mkoa, baada ya kukamilisha mashindano ya ngazi ya halmashauri mapema jana.


Akizungumza wakati wa kuhitimisha mashindano hayo ngazi ya halmashauri, yaliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari Ilboru, Mkurugenzi mtendaji, halmashauri ya Arusha Seleman Msumi, amewapongeza wanamishezo hao waliochaguliwa na kuwataka kwenda kuipeperusha vema bendera ya halmashauri hiyo.


Aidha amewapa wachezaji hao siri ya mafanikio ni  kujiandaa vizuri, kusikiliza na kufuata maelekezo ya makocha wao, pamoja ma kuwa na nidhamu wakati wote wa mashindano.


 "Nidhamu ni nguzo imara ya mafanikio, unaweza kuwa mchezaji mzuri lakini ukiwa huna nidhamu ni sawa na bure, ninawaomba vijana wangu, tuongozwe na nidhamu, iwakilisheni vema halmashauri na Taifa" Amesema Mkurugenzi Msumi


Naye Mkuu wa Idara ya Elimu sekondari, Halmashauri ya Arusha Mwl. Menard Lupenza, kundi lililochaguliwa ni kundi bora sana, kupitia vipaji mlivyonavyo mkiongeza na maelekezo ya makocha wenu ili kufikia malengo ya ushindi, huku mkitambua kuwa michezo nia ajira.


Licha ya kuwashukuru walimu kwa kujitoa kuandaa wanafunzi tangu ngazi ya shule, amewataka kuendelea kuwasimamia mpaka ngazi ya Taifa na kuhakikisha wanarudi na ushindi kama ilivyokuwa mwaka jana wa 2022.


Michezo shuleni licha ya kuwa ni afya, zaidi inainua vipaji nje ya taaluma, mizcheao ni utekelezaji wa KPI program ya kuondoa mdondoko shuleni, inayowafanya wanafunzi kupenda kuhudhuria shule". Amebainisha Mwl. Lupenza



Afisa Michezo,halmashauri ya Arusha Priscus Silayo, amesema kuwa wanafunzi hao 120, wamechaguliwa kati ya wanafunzi 840 walioshiriki michezo ya fani za ndani na nje kwa ngazi ya halmashauri, kutoka shule za sekondari,  ikijumuisha michezo ya aina 7, ikiwemeo  soka, netiboli, mpira wa wavu, kikapu, mikono, riadha na fani za ndani.


"Tumeshindanisha timu za shule kutoka kanda tano za Ilboru, Mringa, Mlangarini, Kisongo na Ngaramtoni kwa kushirikiaha walimu  kwa kuzingatia vigezo na uwezo wa kujituma katika michezo, pamoja na nidhamu.


Kaulimbiu ya UMISEMTA 2023: Uimarishaji wa miundombinu nchini ni chachu ya Maendeleo ya Taaluma, Sanaa na Michezo nchini


ARUSHA DC ni Yetu, Tushirikiane Kuijenga"

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.