CHANGIA DAMU OKOA MAISHA, CHANGIA DAMU ONGEZA MATUMAINI
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha, Saad Mtambule na Timu ya Damu Salama halmashauri ya Arusha, inawakaribisha Watumishi na Wananchi wote kushiriki katika zoezi la Uchangiaji Damu kwa hiari siku ya Jumatatu tarehe 07 Septemba 2020, Kwenye viwanja vya Ofisi za Makao Makuu eneo la Sekei.
Lengo ni kuokoa maisha ya wagonjwa walio katika hali mbaya wanaohitaji huduma ya Damu kwa dharura.
Zoezi litaanza saa 02:00 asubuhi mpaka saa 10:00 jioni.
ONYESHA UPENDO : CHUPA MOJA YA DAMU INAWEZA KUOKO MAISHA YA WATU.*
NYOTE MNAKARIBISHWA
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.