Katibu Mkuu wa CCM Taifa,Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi akisikiliza kero za Wananchi wa eneo la Kisongo wakati wa ziara yake Mkoa Arusha akiwa ameambana na Katibu wa NEC- Uenezi,Itikadi na Mafunzo ndugu Amos Makalla pamoja na Katibu wa NEC-Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ndugu Rabia Abdalla Hamid. Katika ziara hiyo Dkt.Nchimbi pamoja na mambo mengine amewataka Viongozi na Watendaji wa Serikali Nchini kuendelea kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.