Wajumbe wa Kama ya Lishe Halmashauri ya Arusha wakiwa katika Kikao cha kujadili Afua za Lishe kwa Jamii leo tarehe 1/08/2024. Kikao hicho pamoja na mambo mengine kilijadili masuala ya utoaji elimu ya Lishe bora kwa Jamii hususan kwa mama wajawazito,watoto wachanga na wanafunzi mashuleni
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.