Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha Dk. Wilson Mahera amekutana na wadau wa shirika la Water Mission na kufanya mazungumzo Ofisini kwake leo asubuhi, wadau hao wameonesha nia ya kushirikiana na halmshauri ya Arusha kuboresha huduma za maji kwenye taasisi za serikali zinazogusa jamii ikiwemo shule, masoko, kwenye huduma za Afya na vituo vya mabasi.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.