Meneja wa Idara ya uwezeshaji wananchi kiuchumi wa shirika la Ace Africa ndugu Salum Lubuva akimkabidhi mwenyekiti wa kikundi cha wajasiriamali cha Loluvo Bi. Upendo John msaada wa Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka ikwa lengo la kuwainua kiuchumi, kikundi cha Loluvo kipo Kijiji cha Oloitushula kata ya Musa.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.