Mwenyekiti wa halmashauri ya Arusha, Mhe. Ojung'u Salekwa, anawatakia Kila la Kheri wanafunzi wote wa Halmashauri hiyo, wanaofanya Mtihani wa Taifa wa Kuhitimu Darasa la saba, mwaka 2022.
Mtihani huo unatarajia kufanyika kwa siku mbili tarehe 05 - 06 Oktoba, 2022
ARUSHA DC
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.