"Jumla ya wanafunzi 9,711 wa shule za msingi 141 halmashauri ya Arusha, wavulana 4,628 na wasichana 5,083 kutoka shule 141 wanatarajia kufanya mtihani wa Taifa wa kuhitimu darasa la saba mwaka 2022 kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Baraza la Mitihani la Taifa tarehe 05 - 06., Oktoba 2022" Salvatory Alute Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi
Kila la Kheri wanafunzi wote !!!!
ARUSHA DC
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.