Wafugaji wa ng'ombe wa maziwa wa kata ya Kiutu halmashauri ya Arusha wamepatiwa mafunzo ya namna ya kuboresha koo za ng'ombe kwa njia ya uhawilishaji.
Mafunzo hayo yameandaliwa na Idara ya Mifugo na yatatolewa katika kata zote zenye wafugaji wa ng'ombe wa maziwa na katika kata ya Kiutu yanatolewa na Dkt. Yohana Kiwone.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.