Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuanza ziara ya kikazi kwenye wilaya za mkoa huo kuanzia kesho Septemba 02,2025 katika wilaya ya Ngorongoro.
Katika ziara hiyo CPA Makalla atatembelea na kukagua utekekezaji w miradi ya Maendeleo kisekta, atafanya Mikutano ya Hadhara na wananchi wa wilaya hizo pamoja na kujitambulisha kwa viongozi wa Chama na Serikali, viongozi wa dini na mila pamoja na wananchi wa wilaya hizo.

Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.