• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MBUNGE NOAH ASISITIZA UMUHIMU WA VIONGOZI WA WANANCHI KUHAMASISHA SENSA KATIKA MAENEO YAO

Posted on: August 12th, 0202

Na Elinipa Lupembe.

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi, Mhe. Noah Lembris, amewasistiza viongozi wawakilishi wa wananchi wakiwemo waheshimiwa madiwani, wenyeviti wa vijiji na vitongoji halmashauri ya Arusha kuendelea kushiriki kuhamasisha utekelezaji wa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, itakayofanyika nchini tarehe 23.08.2022.

Mhe. Noa ametoa rai hiyo wakati wa mkutano wa Baraza la Madiwa la robo ya nne na ya mwisho kwa mwaka wa 2021/2022 kwa kiwasisistiza viongozi hao, kushiriki  kuhamasisha wananchi katika maeneo yao kushiriki Sensa ya Watu na makazi na kuhakikisha kila mtu aliyelala kwenye mipaka ya eneo lake usiku wa kuamkia siku ya Sensa anahesabiwa.

Amesema kuwa zoezi la Sensa ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, lakini pia ni muhimu kwa maendleeo ya kata na vijiji vyetu, ikiwa ni mkakati wa mipango thabiti ya kuwahudumia wananchi kulingana na idadi yao kwenye eneo husika.

"Madiwani na wenyeviti wa vijiji na vitongoji mnajukumu la kuwaelimisha na kuwahamasisha wananchi wenu umuhimu wa  kuhesabiwa siku hiyo ya Sensa, sambamba na kuhakikisha watu wote waliolala kwenye eneo lako usiku wa kuamkia siku ya Sensa wanahesabiwa bila kukosa" Amesisitiza Mbunge Noah.

Naye Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, amebainisha kuwa tofauti na Sensa zilizopita, Sensa ya watu na makazi 2022, imenasibishwa kuwa ni Sensa shirikishi, ambayo viongozi wote wenye dhamana wanalojukumu la kushiriki katika zoezi hilo muhimu kwa kuhakikisha watu wote katika maeneo yao wanahesabiwa siku ya Sensa.

Naye Mratibu wa Sena Halmashauri ya Arusha Innocent Matick, ameeleza kuwa kwa mujibu wa muongozo wa sensa ya watu na makazi Madiwani ni wenyeviti wa kamati ya Sensa ngazi ya kata hivyo wanawajibu wa kuhamasisha sensa katika kata zao kwa kuhakikishao zoezi linafanyika kwa uafilifu huku watu wote katika maenwo yao wanahesabiwa.

Ameongeza kuwa, kadhalika wenyeviti wa vijiji na vitongoji ndio wenyeviti wa kamati ya Sensa ngazi ya vijiji na vitongoji, wakiwa na jukumu kubwa la kuhakikisha kila mtu aliyelala kwenye eneo lake usiku wa kuamkia siku ya sensa anahesabiwa kwa kutoa taarifa kwa karani wa sensa kupitia dodoso la sensa.

Sensa ya watu na makazi inatarajiwa kufanyika tarehe 23.08.2022 nchini, ikiwa na kengo la kukusanya taarifa za wananchi na maifa sahihi za Kidemografia, Kijamii, Kiuchumi na Mazingira, takwimu sahihi zitakazoiwezesha Serikali na wadau wengine kupanga mipango ya maendeleo kisekta.

ARUSHA DC TUPO TAYARI KUHESABIWA✍

MHE. NOAH YUPO TAYARI KUHESABIWA✍

SHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022

JIANDAE KUHESABIWA 23.08.2022✍

SENSABIKAAAAAAAA






Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DKT. PASCAL KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 19, 2025
  • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI

    June 17, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.