Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, ndugu Seleman Msumi, amewaasa Wananchi na Wafanyabiashara kwa ujumla kulifanya suala la usafi kuwa utamaduni wao, ili kuhakikisha maeneo yote hasa wanayofanyia shughuli zao za kuwaletea maendeleo kuwa safi wakati wote. Msumi ameyasema hao, leo katika Maadhimisho ya siku ya usafishaji Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Soko la Ngaramtoni Kata ya Olturumet katika Halmashauri ya Arusha.
Siku ya usafishaji wa mazingira duniani hufanyika kila ifikapo Septemba 20, ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni "Tunza mazingira kwa kuzipa taka thamani".



Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.