Na Elinipa Lupembe
Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Mwanza, Seleman Sekiete, akiwakaribisha Wajumbe wa Baraza la Madiwani na watalamu wa halmashauri ya Arusha walifika Jijini Mwanza kwa ajili ya ziara ya mafunzo jijini Mwanza.
Mkurugenzi Sekiete amesema kuwa ziara hiyo ni nyenzo muhimu ya mahusiano ya kiuchumi na maendeleo ya halmashauti ya Arusha na Jiji la Mwanza.
Licha ya kuwa ziara hii ya mafunzo inalenga kubadilishana uzoefu katika utendaji wa kazi wa halmashauri hizi lakini zaidi matokeo yake yanakwenda kufanya mabadiliko ya kiuchumi kwa wananchi wa halmashauri zote kwa maendeleo endelevu ya Taifa.
ARUSHA DC
KaziInaendelea✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.