Mkuu wa Wilaya ya Aruneru,Mhe.Amiri Mohammed Mkalipa akikagua miundombinu ya ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Loovilukunyi iliyopo Kata ya Kisongo katika Halmashauri ya Arusha. Majengo ya shule hiyo mpya yamekamilika tayari kupokea wanafunzi wa Kidato cha kwanza tarehe 13/01/2025.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.