• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MVUA KUBWA YALETA MADHARA TARAFA YA MUKULAT ARUSHA DC

Posted on: March 24th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia tarehe 23.03.2023 imesababisha uharibufu mkubwa kwa wananchi wa maeneo ya Ngaramtoni.


Jumla ya kata tano za Oloirien, Olmotonyi, Olturumet, Kimnyaki na Kiranyi zimeathirika na matokeo ya mvua hiyo kubwa ambayo haikusababisha maafa kwa binadamu.


Mvua hiyo imeharibu miundombinu ya barabara, kuvunja kuta za baadhi ya nyumba, mifereji kujaa tope, kuharibu mashamba huku maji na matope yakijaa ndani ya nyumba na kuharibu samani za ndani kwa baadhi ya nyumba.


Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Mhe. Emanuela Mtatifikolo Kaganda, anatoa pole kwa wananchi wote kutokana na uharibifu na hasara zote zilizosababishwa  na mvua hiyo na kuwataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya mvua zinazoendelea kunyesha katika msimu huu wa mvua.


Aidha amewashukuru wakazi wa maeneo hayo,  ndugu jamaa na marafi kwa kuwawapa misaada mbalimbali ya kibinadamu wale walioathirika zaidi, na kusisitiza udugu huo uendelee kuwepo katika maisha yetu ya kila siku.


"Ninashukuru kwa kuwa wananchi wote waliungana kukabiliana na majanga yaliyotokea kwa kuwasaidia wale walioathithika zaidi, huu ndio upendo ambao Mwenyenzi Mungu ameusisitiza katika maisha yetu wanadamu". Amesisitiza Mhe. Emanuela


ARUMERU

#kaziinaendela✍✍✍







Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI WA NAFASI ZA UDEREVA TAREHE 28/12/2018 December 19, 2018
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI TAREHE 1-7, AGOSTI 2020. July 31, 2020
  • TANGAZO KWA WANANCHI WOTE MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI 2O20/2021 TAREHE 29.01.2021 January 29, 2021
  • KINGA TIBA YA KICHOCHO NA MINYOO YA TUMBO KWA WATOTO MIAKA 5-14 March 02, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAAFISA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI ARUSHA DC, WAKUMBUSHWA MAJUKUMU YAO.

    May 29, 2023
  • WAKULIMA ARUSHA DC WAANZA KUNUFAIKA NA PROGRAMU YA ANZIA SOKONI MALIZIA SHAMBANI KWA KIPATO ZAIDI....

    May 28, 2023
  • DC ATOA MAAGIZO KWA WANANCHI KUSITISHA SHUGHULI ZOTE ZA KIBINADAMU KWENYE MILIMA

    May 26, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA ARUSHA

    May 25, 2023
  • Tazama zote

Video

MFUGAJI AKIELEZEA FAIDA ZA UHIMILISHAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA - BANDA LA MIFUGO ARUSHA DC
Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.