• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MWILI WA MAREHEMU RAS KWITEGA WAWASILI JIJINI MWANZA

Posted on: February 5th, 2021

Na. Elinipa Lupembe.

Mwili wa alieyekuwa Katibu Tawala mkoa wa Arusha, marehemu Richard Kwitega umewasili,  kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, kwa ndege ya shirika la ndege Tanzania - Air Tanzania na  kupokelewa na mkuu wa mkoa wa Mwanza, mheshimiwa John Mongela.

Mwili wa huo, umewasili uwanjani hapo majira ya saa 10:20 jioni, ukitokea mkoani Arusha, ukiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha, mheshimiwa Idd Kimanta akiwa ameambatana na viongozi wengine wa chama na serikali, kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, watumishi wa mkoa wa Arusha pamoja na familia ya mareheu Kwitega mke na watoto. 

Mwili wa  marehemu Kwitega, umeelekea kwenye makazi yake ya Mwanza, mtaa wa Ikigiju, kata ya Nyamongolo Manispaa ya Ilemela, kwa ajli ya maombelezo na kuagwa na wakazi wa mkoa wa Mwanza, na baadaye kesho kuelekea nyumbani kwao, katika kijiji cha Ngoma wilayani Sengerema kwa ajili ya mazishi. 

Maremu Richard Kwitega, amefariki dunia siku ya Jumatano tarehe 03.02.2021 saa tisa alasiri,  kwa ajili ya gari iliyotokea eneo la Mdolii-Babati mkoani Manyara akiwa njiani kuelekea Dofoma kikazi.

Mwenyenzi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina.

PICHA ZA MATUKIO MWANZA AIR PORT







Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DKT. PASCAL KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 19, 2025
  • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI

    June 17, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.