• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

NMB CLOCK TOWER YAAHIDI KUWEZESHA WAKULIMA & WAFUGAJI ARUSHA DC

Posted on: October 9th, 2020

Na. Elinipa Lupembe.

     Katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, Benki ya NMB kanda ya Kaskazini, tawi la Clock Tower la Jijini Arusha, imedhamiria kuimarisha ushirikiano baina yake na halmashauri ya Arusha, kwa kuwezesha wakulima, wafugaji na wafanyabiashara ndogo wa halmashauri hiyo.

      Dhamira hiyo imetolewa na Meneja wa Bank ya NMB Tawi la Clock Tower, Emmanuel Kishosha, wakati wa kikao cha pamoja kati ya wafanyakazi wa tawi hilo la NMB na timu ya Menejiment ya halmashauri ya Arusha, kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mwenyekiti wa halmashauri ya Arusha, ikiwa ni sehemu ya  maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.

      Meneja wa tawi hilo la Clock Tower amesema kuwa, ni wazi kwamba Benki ya NMB ni benki ya serikali hivyo inawajibu wa kuwawezesha  wananchi kiuchumi, hasa wakulima, wafugaji na wajasiriamali wadogo, ikiwa ni utekelezaji wa sera ya serikali, kuelekea uchumi wa viwanda.

     "Arusha DC ni wadau wetu wakubwa, tushirikiane kuawafikia wananchi mnaowahudumia, tuunganisheni nao kulingana na mahitaji yao, ili NMB iwawezesha kukuza mitaji yao kwa gharama nafuu, tofauti na benki nyingine za kibiashara, NMB  benki inatoa huduma kwa wananchi wa hali zote, pale mnapokuwa na uhitaji, tuandikieni barua, tutashirikiana kwa huduma na misaada stahiki kadri tutakavyoweza, hilo ndilo jukumu la NMB bank". Amesisitiza Meneja Kishosha.

     Naye Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Saad Mtambule, licha ya kuushukuru uongozi wa benki ya NMB tawi la Clock Tower kwa ushirikiano mkubwa wa kuwahudumia watumishi na wananchi wa halmashauri hiyo, ameomba benki hiyo kuendelea kuunga mkono, utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika halmashauri hiyo kwa kuchangia miradi ya maendeleo katika sekta ya elimu, afya na biashara.

   "Mmekuwa mkitusupport sana, bado mmeona ni muhimu kuwa karibu zaidi na uongozi wa Arusha DC, jamii yetu inamahitaji mengi naamini tukishirikiana tutafikia lengo la serikali la kuwawezesha wananchi kukua kiuchumi na kutekeleza sera ya Viwanda na kukuza uchumi wa taifa letu"amesema Mkurugenzi Mtambule

  Hata hivyo mkutano huo, uliambatana na zawadi mbalimbali zilizotolewa na NMB kwa timu hiyo ya menejimenti pamoja na keki kama ishara ya benki hiyo kusumisha ushirikiano na Halmadhauri ya Arusha.

   Wiki ya huduma kwa Wateja imefikia kilele kwa taasisi zinazotoa huduma, kushiriki shughuli mbalimbali na wateja wanaowahudumia, huku taasisi hizo zikijipambanua shughuli na huduma zinazotoa kwa ubora zaidi ya nyingine.





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.