• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI IMETOA SHILINGI MILIONI 115.6 KWAAJILI YA UJENZI WA MADARASA YA AWALI YA MFANO....

Posted on: June 16th, 2023

TAARIFA KWA UMMA/VYOMBO VYA HABARI.

 


Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha Seleman Msumi, anautaarifu Umma kuwa Halmashauri imepokea fedha kiasi cha shilingi Milioni 115.6 kwa awamu mbili kutoka Serikali Kuu kupitia miradi ya GPE - LANES II kwa ajili ya kutekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu ya  shule mbili za Msingi.

Mkurugenzi Msumi amefafanua kuwa kiasi hicho cha fedha kitatumika kujenga miundombinu ya madarasa ya awali ya mfano kwa shule mbili, ikiwemo shule ya Msingi Ngorbob kata ya Matevesi na shule ya Msingi Olokii kata ya Bwawani.

Aidha kila shule itajengwa vyumba viwili vya madarasa na samani zake, michezo ya watoto (bembea), matundu sita ya vyoo huku matundu mawili ya vyoo yakiwa ni maalum kwa Wanafunzi wenye Mahitaji Maalum kwa shule zote mbili.

Mkurugenzi Msumi amefafanua lengo la Serikali kutoa fedha hizo ni kuboresha miundombinu ya shule za awali nchini kwa kujenga shule za awali za mfano zenye vifaa vyote muhimu (Nursery Model School), ili kukuza stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu kwa wanafunzi wa shule za msingi.

Mchanganuo wa fedha hizo na Miradi itakayotekelezwa imeainishwa kwenye jedwali:-

NA.

JINA LA MRADI

KATA

KIASI CHA FEDHA


SHULE YA MSINGI NGORBOB

MATEVES

57,824,000.00


SHULE YA MSINGI OLOKII

BWAWANI

57,825,000.00

JUMLA

115,649,000.00

Elinipa J. Lupembe

KAIMU MKUU WA KITENDO CHA MAWASILIANO SERIKALINI 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.