• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

TAARIFA KWA UMMA/VYOMBO VYA HABARI

Posted on: May 23rd, 2023

TAARIFA KWA UMMA/VYOMBO VYA HABARI.

 

 

MATUMIZI YA FEDHA SHILINGI MILIONI 85.4 ZA MAPATO YA NDANI KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI SITA SEKTA YA ELIMU NA AFYA.

Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha Seleman Msumi, anautaarifu Umma kuwa Halmashauri imetenga fedha kiasi cha shilingi Milioni 85.4 fedha za Mapato yake ya Ndani kwa ajili ya kutekeleza miradi 6 ya Maendeleo katika sekta ya Elimu na Afya, kwa kipindi cha robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023.

Aidha Mkurugenzi Msumi ameitaja miradi hiyo kuwa ni pamoja na ukamilishaji wa vyumba vya madarasa jengo la ghorofa (ground floor) shule ya sekondari Ilkiding’a, ukamilishaji wa vyumba viwili ya madarasa shule ya Msingi Shibolo, ujenzi wa matundu 8 ya vyoo shule ya Msingi Olomitu na ujenzi wa matundu 6 ya vyoo shule ya sekondari Nduruma.

Miradi mingine ni ukamilishaji wa zahanati ya Kigongoni, ujenzi wa nyumba ya mtumishi Zahanati ya Bwawani, usimikaji wa mfumo wa kukusanyia mapato (GoTHOMIS) zahanati ya Bangata na Oldadai.

Mchanganuo wa fedha hizo na Miradi itakayotekelezwa imeainishwa kwenye jedwali:-

NA.

JINA LA MRADI

SHUGHULI ZITAKAZOFANYIKA

KIASI CHA FEDHA


SHULE YA SEKONDARI ILKIDING’A

Ukamilishaji wa vyumba vya madarasa ghorofa ya kwanza

20,000,000.00


SHULE YA MSINGI SHIBOLO

Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa

10,000,000.00


SHULE YA MSINGI OLOMITU

Ujenzi wa matundu 8 vya vyoo

8,800,000.00


SHULE YA SEKONDARI NDURUMA

Ujenzi wa matundu 6 vya vyoo

6,600,000.00


ZAHANATI YA KIGONGONI

Ukamilishaji wa Zahanati

10,000,000.00


NYUMBA YA MTUMISHI

Ukamilishaji wa nyumba ya mtumishi Zahanati ya Bwawani

10,000,000.00


ZAHANATI YA OLDADAI

Ufungaji wa Mfumo wa Kukusanyia Mapato (GoTHOMIS)

10,000,000.00


ZAHANATI YA BANGATA

Ufungaji wa Mfumo wa Kukusanyia Mapato (GoTHOMIS)

10,000,000.00

JUMLA

 

85,400,000.00

 

 

Elinipa Lupembe

KAIMU MKUU WA KITENDO CHA MAWASILIANO SERIKALINI (W)

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.