Na Elinipa Lupembe
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, anawatangazia wananchi wote kuwa, Halmashauri inategemea kutoa kinga Tiba dhidi ya Minyoo Tumbo kwa watoto wa kuanzia umri wa miaka 5 mpaka 14.
Dawa Tiba hiyo itatolewa kwa siku moja, tarehe 22.11. 2022 siku Jumanne, kwenye shule zote za msingi za serikali na za binafsi kuanzia saa 02:00 - 09:00 Alasiri
Aidha Kinga Tiba hiyo itolewa kwenye shule zote za msingi za serikali na za binafsi za halmaahauri ya Arusha na itatolewa kwaa watoto wote, walio kwenye mfumo wa shuleni na wasio kwenye mfumo wa shule.
Ewe Mazazi Hakikisha mtoto wako amepata Kinga tiba za minyoo.
KINGA NI BORA KULIKO TIBA✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.