Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha Dkt. Wilson Mahera, anawatangazia na kuwakumbusha wananchi wote wa halmashauri ya Arusha, wenye Malalamiko/Kero kufika kwenye Ofisi za Makao Makuu ya halmashauri zilizopo eneo la SEKEI na kuziwasilisha kwenye DAWATI LA MALALAMIKO, kwenye Jengo Jipya, Chumba Na. 5 (Ground Floor) Ofisi ya Afisa Habari.
Malamiko /Kero zitasikilizwa na kutolewa maamuzi kwa wakati.
Aidha malamiko/ kero zote ni siri hazitatolewa kwa mtu yoyote asiyehusika.
Ukisoma tangazo hili, mjulishe na mwingine.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.