Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa anategemea kuwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Muongozo wa Mapango Kabambe wa Afua za Ustawi wa Jamii utakaofanyika mnamo tarehe 23 Septemba 2022 jijini Dodoma.
"Serikali itachukua hatua kali kwa watu watakaothibitika kufanya vitendo vya ukatili na unyanyasaji kwa watoto vikiwemo vitendo vya kuwakatisha masomo"
Source: OR - TAMISEMI
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.