• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA WAPONGEZA UJENZI WA BWENI LA WANAFUNZI SEKONDARI KIMNYAKI

Posted on: October 29th, 2022

Na Elinipa Lupembe


Wajumbe wa Kamati ya Fedha Utawala na Mipango, halmashauri ya Arusha, wamewapongeza wananchi wa Kimnyaki kwa kujitoa kuanza ujenzi wa bweni la wasichana shule ya sekondari Kimnyaki, lenye uwezo wa kulaza wanafunzi 80.


Pongezi hizo zimetolewa wakati wajumbe wa kamati hiyo walipofanya ziara ya kukagua  shughuli za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa robo ya kwanza mwaka wa fedha 2022/2023


Akiwasilisha taarifa ya mradi huo, mkuu wa shule ya sekondari Kimnyaki, Mwl Maria Chami, amesema kuwa mradi huo, ulianza kwa nguvu za wananchi kwa kufanya harambee na kupata jumla ya shilingi milioni 19 ambazo zilianza ujenzi wa msingi.


Mwalimu Maria amesema kuwa mradi huo uko katika hatua za awali na kukamilika kwakwe kunategemea kugharimu shilingi milioni 150.8, huku halmashauri imetoka shilingi milioni 10 kupitia mapato yake ya ndani, na kuahidi  kuendelea kutoa fedha hizo kwa mujibu wa bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2022, fedha ambazo zitaongeza nguvu za kuendeleza ujenzi wa bweni hilo.


Naye Diwani wa kata ya Kimnyaki Mhe. Eliakimu Marivei, amebainisha kuwa, wananchi wa Kimnyaki waliamua kuunganisha nguvu kujenga bweni la wasichana shuleni hapo, kwa kuzingatia usalama wa mtoto wa kike anayekabiliwa na changamoto za vishawishi vinavyosababisha mimba na ndoa za utotoni.


"Tumeamua kujenga bweni, kumuwezesha mtoto wa kike kusoma na kutimiza ndoto zao bila vikwazo, kiwa ni utekelezaji wa malengo ya Serikali ya kuboresha miundombinu ya elimu nchini". Amefafanua Mhe.


Hata hivyo wajumbe wa kamati ya fedha wamepongeza wananchi wa Kimnyaki pamoja kurudhishwa na maendeleo ya ujenzi, na kumuagiza mkurugenzi wa halmashauri kuendelea kutoa fedha kwa mujibu wa bajeti ili kuunga mkono juhudi za wananchi wa Kimnyaki.


Makamu Mwenyekiti Halmashauri ya Arusha, Mhe. Selina Mollel, amewapongeza wananchi wa kata ya Kimnyaki kupitia Mheshimiwa Diwani wao, na kuwataka wengine kuiga mfano huo na kuwataka madiwani kuunga mkono juhudi hizo kwa manufaa ya wasichana na wananchi wa halmashauri ya Arusha.

ARUSHA DC

KaziInaendelea✍✍

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DKT. PASCAL KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 19, 2025
  • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI

    June 17, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.