• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2024 WATAKIWA KURIPOTI SHULENI.

Posted on: January 16th, 2024




NA JULIUS LAIZER AFISA HABARI ARUSHA DC:

Wazazi na Walezi wenye watoto waliofaulu na kupangiwa kujiunga na elimu ya sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wametakiwa kuhakikisha kuwa watoto wao wanaripoti shuleni kufikia tarehe 19/01/2024 ili kuendelea na masomo yao.

Haya yameelezwa na Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Arusha Ndugu Menard M. Lupenza alipokuwa akitoa taarifa ya Mapokezi ya wanafunzi waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga na elimu ya Sekondari kidato cha kwanza kwa mwaka 2024.

Amesema kuwa jumla ya Wanafunzi wapatao 8966 walifaulu na kuchaguliwa kujiunga na masomo ya Kidato cha kwanza 2024 ikiwa idadi ya wavulana ni 4177 wasichana 4789 na kusema kuwa ufaulu huo umechangiwa na ushirikiano mzuri wa waalimu na wazazi katika maandali mbali mbali.

Ameeleza kuwa jumla ya Wanafunzi wapatao 5147 wameripoti shuleni kufikia hii leo tarehe 16/01/2024 idadi ya Wavulana ikiwa ni 2384 idadi ya Wasichana ni 2760 Wanafunzi watatu wenye mahitaji Maalum, sawa na asilimia 57.04.


Tangu tarehe 08/01/2024 shule zote za Halmashauri ya Wilaya ya Arusha imeendelea na zoezi la kuwapokea wanafunzi kwa usaili na kuanza masomo yao ya kujengewa Uwezo na kuzoeshwa Mazingira ya Elimu ya Sekondari kwa kufundishwa somo maalumu English Orientation Course, Hivyo Wazazi wahakikishe wanawapeleka Watoto wao shule.

Amesema Serikali ya Awamu ya Sita ya Mheshimiwa Rais Daktari Samia Suluhu Hassan imetoa fursa kwa Wazazi na Walezi kuhakikisha wanawapeleka watoto wao shule kwa kuwa Miundo mbinu ya kuwapokea wanafunzi imekamilika kwa asilimia mia moja, miundo mbinu hiyo ni Madarasa, Maabara, Samani, Waalimu na Mazingira mazuri ya Ufundishaji.

Amewajulisha Wazazi kuwa serikali Sikivu ya Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza mpango wake wa kutoa Elimu bila Malipo kwa Wanafunzi wa Darasa la Awali hadi kidato cha Sita lengo ikiwa ni kila mwanafunzi kupata elimu na kutimiza ndoto na malengo yake.

Amesema jukumu la azazi ni kuhakikisha wanawatimizia watoto wao Mahitaji yao Muhimu ya shule kama vile Sare, Madaftari,Usafiri wa kwenda Shule na kuhakikisha mwanafunzi anapata Chakula itakayomfanya aweze kuwa na Usikivu mzuri awapo Darasani.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.