• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Watumishi Arusha DC wapata mafunzo ya kuzima moto

Posted on: May 24th, 2019

Watumishi wa makao Makuu, halmshauri ya Arusha, wamepatiwa mafunzo ya namna ya kuzima moto, huku taasisi za Serikali, zikitakiwa kuchukua tahadhari, juu ya ajali zitokanazo na majanga ya moto kwa kufunga viashiria moto (Smoke Ditecto) pamoja na vifaa vya kuzimia moto (Fire Extinguisher) katika majengo yote ya taasisi hizo.

Tahadhari hiyo, imetolewa na askari wa kikosi cha Zima Moto na Uokoaji, wilaya ya Arumeru, Sajenti Babaa Toroso, wakati wa mafunzo hayo, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Ofisi za  Makao Makuu,  Halmashauri ya Arusha.

Sajenti Toroso, amesema kuwa, ni vema kuchukua tahadhari ya kufunga vifaa maalumu  vya viashiria vya moto, vifaa vya kuzimia moto, pamoja na kujifunza namna ya kutumia vifaa hivyo, kwa lengo la kukabiliaba na majanga hayo ya moto.

Aidha Sajenti Toroso, amefafanua kuwa, asilimia kubwa ya hasara zinazosababishwa na majanga mengi ya moto, hutokana na watu kutokuwa na uelewa wa kutosha, juu ya umuhimu na matumizi ya vifaa vya  kuzimia moto,  pamoja na kushindwa kufuata utaratibu wa uzimaji moto.

Amesisitiza kuwa, kila jengo linapaswa kuwa na  vifaa vya kuzimia moto 'fire extinguisher' , miundombinu rafiki ya kujikinga na majanga ya moto ikiwemo sehemu ya kusimama pindi moto unapotokea, pamoja na kutoa taarifa mapema pindi moto utakapotokea.

"Mara nyingi moto ukitokea, watu huanza kuzima kwanza, bila utalamu wowote, moto ukiwashindisha ndio wanaanza kutafuta Fire, jambo ambalo si sahii, pindi moto ukizuka, toa taarifa Fire kwa namba 114 bila gharama yoyote" amesema Sajenti Toroso.

Hata hivyo, watumishi wa halmashauri ya Arusha, wamelishukuru Jeshi hilo la Zima Moto, kwa kuwapa mafunza muhimu kwa jamii hiyo, kwani wengi wao, hawakuwa na ufahamu wa kutosha, juu ya tahadhari ya majanga ya moto na kuzima moto licha ya kuwa baadhi yao, humiliki na  vifaa hivyo.

Awali, Jeshi la Zima Moto na Uokoaji, linatoa elimu kwa jamii, ya namna ya kukabiliana na majanga ya moto na kuisisitiza jamii, kuchukua tahadhari kwani moto husababisha hasara na pengine vifo.







Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DKT. PASCAL KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 19, 2025
  • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI

    June 17, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.