• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LA ROBO YA NNE 2020/2021 -ARUSHA DC

Posted on: August 7th, 2021

Na. Elinipa Lupembe.

## Waheshimiwa Madiwani wanatakiwa kushirikiana na watalamu pamoja na wadau wa maendeleo wa halmashauri ili kuweka mkakati wa kutatua kero na changamoto zinazowakabili  wananchi katika maeneo yao, kwa kuwa madiwani  wamebeaba taswira halisi ya changamoto zinazowakabili wananchi katika maeneo yao.

## Waheshimiwa Madiwani wana jukumu la kuhamasisha wananchi na wadau wa maendeleo katika maeneo yao, kushiriki katika ujenzi wa vyumba vya madarasa, matundu ya vyoo na nyumba za walimu, ili kupunguza changamoto ya upungufu wa vyumba vya madarasa unaotokana na elimu bila malipo, pamoja na kuwezesha walimu kuishi karibu na shule wanazofundisha..#Menejimenti imeagizwa kuendelea kuikumbusha serikali kupitia Tume ya Utumishi kupata wahtumishi katika sekta ya afya, sekta amabyo inaupungufu mkubwa wa watumishi hao, halmashauri inatakiwa kuwa na jumla ya watumishi 775 lakini mpaka ssasa ina watumishi kati ya 286, jambo ambalo linawapa mzigo mkubwa watumishi hao pamoja na kudhorotesha utoaji wa huduma za afya kwa wanachi.

## Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kupitia REA kupitia upya utaratibu wa mtandao wa usambazaji wa umeme katika vijiji vya halmashauri ya Arusha, kwa kuwa mpaka sasa  vijiji vingi havijapata umeme ukilinganisha na idadi ya vijiji 67 vya halmashauri hiyo, hata hivyo katika vijiji vichachw vilivyopata umeme ni wananchi wachache sana waliopata huduma hiyo ya Umeme.

## Wakala wa Barabara mijini na vijijini (TARURA) halmashauri ya Arusha, imetakiwa kuendelea kufanya matengenezo katika barabara za ndani ya halmashauri, kwa kuwa miundo mbinu ya barabara nyingi  ni mibovu na kusababisha kero kwa wananchi.

## Wananchi wa halmashauri ya Arusha, wamesisitizwa kwenda kupata chanjo dhidi ya UVIKO 19, chanjo inayotolewa bure na serikali katika vituo vya afya vilivyoainishwa,  msisitizo mkubwa ukiwa kwenye makundi maalum yaliyo kwenye hatari kubwa, ikiwemo watu wenye magonjwa sungu, watu wenye umri mkubwa wa kuanzia miaka 50, walimu pamoja  na wahudumuw a afya, huku akiwataka Waheshimjwa Madiwani kuwa mfano wa kuchanja na kuwahimisha  wananchi wao kuchanja.

## Aidha wananchi wamesisistizwa kuendelea kujihadhari na UVIKO 19 kwa kufuata mael3kezo yanayotolewa na wahudumu wa Afya, ikiwemo kula chakula bora chenye virutubisho vyote ili kuimarisha kinga ya mwili, kuepuka misongamano isiyokuwa ya lazima, kunawa mikono kwa kutumia sabuni na maji tiririka, kutumia vitakasa mikono, pamoja na kuvaa barakoa.







Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.