Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi, Mhe. Noah Lembris atafanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika vijiji vya Engalaoni na Imbibya kata ya Mwandet na hatimaye kuzungumza na wananchi.
Wananchi wote mnakaribishwa!!
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.