Posted on: May 7th, 2022
Na. Elinipa Lupembe
Wafugaji Halmashauri ya Arusha, wametakiwa kutumia majosho, kuogesha mifugo yao, ili kuwa na mifugo yenye afya bora, mifugo ambayo itakuwa na tija na kuwaongezea kipato sambamba...
Posted on: May 3rd, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhandisi Richard Ruyango, anawatakia Waislam na Wananchi wote, Kheri ya Sikukuu ya Eid al Fitr."
TUSHEREKEE KWA AMANI NA UTULIVU"
EID MUBARAK...
Posted on: May 3rd, 2022
Mwenyekiti Halmashauri ya Arusha, Mheshimiwa Ojung'u Salekwa, anawatakia Waisalam na Wananchi wote, Kheri ya Sikukuu ya Eid al Fitr.
"TUSHEREKEE KWA AMANI NA UTULIVU"
EID MUBARAK...