Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, anawatangazia wananchi wote kuwa, Serikali itatoa Kinga Tiba ya Ugonjwa wa Minyoo kwa watoto wa umri wa Miaka 5 mpaka 14.
Kinga tiba hiyo itatolewa tarehe 09.03.2020 kwenye shule zote za msingi za binafsi na za Serikali kuanzia saa 02:00 asubuhi mpaka saa 10:00 jioni.
Ewe mzazi/mlezi hakikisha unampeleke mtoto wako kupata Dawa hizo muhimu kwa ajili ya ya Ugonjwa wa Minyoo, kwenye shule iliyokaribu nawe.
*KINGA NI BORA KULIKO TIBA*
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.