Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
KAMATI YA ELIMU, AFYA NA MAJI.
Kamati ya Elimu, Afya na Maji Halmashauri ya Arusha ina jumla ya wajumbe 14.
Kamati hii inafanya vikao vyake mara moja kila baada ya miezi mitatu (kila robo) na Mwenyekiti wa Kamati hii ni Mhe. RAYMOND PINIEL LAIRUMBE na Katibu akiwa ni Mkuu wa Idara ya Afya Halmashauri ya Arusha.
Kamati ya Elimu, Afya na Maji inashughulika na masuala yote yanayohusu Afya ya jamii, elimu na huduma za maji.
Aidha Kamati hii inashughulikia pia mambo yanayohusiana na jitihada za wananchi vijijini kujiletea maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri na kushirikisha wananchi hasa katika kutayarisha, kutekeleza, kusimamia na kuatthmini Mipango ya Maendeleo.
Majukumu makuu ya Kamati ya Elimu, Afya na Maji ni pamoja na:-
Orodha ya Wajumbe wa Kamati ya Elimu, Afya na Maji 2019/2020.
NA |
KATA |
JINA |
NAMBA YA SIMU
|
1 |
Mhe. RAYMOND PINIEL LAIRUMBE
|
MWENYEKITI |
0755 780022 |
2
|
Mhe. NOAH L. SAPUTU
|
MJUMBE |
0755 641086 |
3 |
Mhe. BARAKA SAIMON MESIAKI
|
MJUMBE |
0766 494549 |
4 |
Mhe. PETER OLAIS MFERE
|
MJUMBE |
0758 234507 |
5 |
Mhe. OJUNG'U PINIEL SALEKWA
|
MJUMBE |
0752 780000 |
6 |
Mhe. RAHELI ALOYCE MOLLEL
|
MJUMBE |
0756 766006 |
7 |
Mhe. ELIAS LOSHULA LENGINA
|
MJUMBE |
0757 941271 |
8 |
Mhe. JOHN SLIM LENGATAI
|
MJUMBE |
0785 000013 |
9 |
Mhe. KALANGA LENDULO LAIZER
|
MJUMBE |
0754 667715 |
10 |
Mhe. WINIFRIDA ELIAKIM. LUKUMAY
|
MJUMBE |
0658 863737 |
11 |
Mhe. ALBERT ELIAS OLTEREU
|
MJUMBE |
0757 665578 |
12 |
Mhe. LENGAI OLE SABAYA
|
MJUMBE |
0754 585458 |
13 |
Mhe. BONIFASI TARAKWA
|
MJUMBE |
0754 366299 |
14 |
Mhe. LOSYEKU KILUSU
|
MJUMBE |
0768 352060 |
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.