Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA.
Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira Halmashauri ya Arusha ina jumla ya wajumbe 14.
Kamati hii inafanya vikao vyake mara moja kila baada ya miezi mitatu (kila robo) na Mwenyekiti hii ni Mhe. Baraka Simon Mesiaki na Katibu akiwa ni Mkuu wa Idara ya Kilimo na Umwagiliaji Halmashauri ya Arusha.
Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira inashughulika na masuala ya uzalishaji mali ikiwemo Kilimo, Ufugaji, Viwanda, Madini, Biashara na vyama vya Ushirika.
Aidha Kamati hii inashughulikia pia miundombinu ya ujenzi na Maendeleo ya Ardhi na hifadhi ya Mazingira.
Majukumu makuu ya Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira ni pamoja na:-
Orodha ya wajumbe wa Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira 2019/2020.
NA |
KATA |
JINA |
NAMBA YA SIMU
|
1 |
Mhe. LEMBRIS L. MOLLEL
|
Mwenyekiti |
0752 030002 |
2
|
Mhe. NOAH L. SAPUTU
|
Mjumbe |
0755 641086 |
3 |
Mhe. JOSEPH JOHN LAIZER
|
Mjumbe |
0768 576100 |
4 |
Mhe. ZEPHANIA P. SIRIKWA
|
Mjumbe |
0768 610590 |
5 |
Mhe. YASMIN ANAND BACHU
|
Mjumbe |
0754 485737 |
6 |
Mhe. ELISANTE L. NASSARI
|
Mjumbe |
0755 999425 |
7 |
Mhe.ELIHURUMA S. LAIZER
|
Mjumbe |
0759 178151 |
8 |
Mhe. BERTHA AMON MOLLEL
|
Mjumbe |
0784 736711 |
9 |
Mhe. FLORA M. MELUSORI
|
Mjumbe |
0756 567332 |
10 |
Mhe. SANARE MEPALARI M.
|
Mjumbe |
0786 945200 |
11 |
Mhe. OLAIS W. LUKUMAY
|
Mjumbe |
0767 697779 |
12 |
Mhe. GODFREY F. MASHELE
|
Mjumbe |
0754 312219 |
13 |
Mhe. LOTHI JOEL MUNGAYA
|
Mjumbe |
0716 422878 |
14 |
Mhe. ELINIPA LESION LAIZER
|
Mjumbe |
0756 874272 |
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.