Mpango kabambe wa Jiji la Arusha unatekelezwa na Serikali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na serikali ya Singapore. Mpango huu unajulikana kama Arusha City Master Plan 2035.
Katika Halmashauri ya Arusha Mpango kabambe wa Jiji la Arusha unategemea kutekelezwa katika eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 149 kwenye baadhi ya maeneo katika kata za Oloirieni, Kimnyaki, Bangata, Moivo, Mlangarini, Kiranyi, Kiutu, Sokoni II, Ilboru na Matevesi.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.