HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA
KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI.
Kamati ya Kudhibiti UKIMWI Halmashauri ya Arusha ina jumla ya wajumbe 5 wa Baraza la Madiwani na Wajumbe wengine kutoka Mashirika yasiyo ya Kiserikali.
Kamati hii inafanya vikao vyake mara moja kila baada ya miezi mitatu (kila robo) na Kisheria Mwenyekiti wa Kamati hii ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Selina James Mollel na Katibu akiwa ni Mkuu wa Idara ya Afya Halmashauri ya Arusha.
Kamati ya Kudhibiti UKIMWI inashughulika na kuweka Mipango na Mikakati mbalimbali ya kudhibiti UKIMWI katika Halmashauri.
Majukumu makuu ya Kamati ya Mpango wa Kudhibiti UKIMWI ni pamoja na:-
Orodha ya Wajumbe wa Kamati ya Kudhibiti UKIMWI 2019/2020.
NA |
KATA |
JINA |
NAMBA YA SIMU
|
1 |
Mhe. BARAKA SAIMON MESIAKI
|
KATA YA OLTUROTO
|
0766 494549 |
2.
|
Mhe. NOAH L. SAPUTU
|
KATA YA OLTURMET
|
0755 641086 |
3 |
Mhe. BERTHA AMON MOLLEL
|
KATA YA SOKON II
|
0784 736711 |
4 |
Mhe. NURU ELIAS NDOSI
|
KATA YA MOIVO
|
0759 427111 |
5 |
Mhe. DIWANI JULIUS S. MOLLEL
|
KATA YA KISONGO
|
|
6 |
Mhe. LENDISA SARUBARE
|
KATA YA MOIVO
|
0754 383357 |
7 |
Ndugu. MARCO KIMIRI
|
MWAKILISHI WA WAVIU
|
|
8 |
Ndugu. RAMADHANI JUMA
|
SHEIKH – DHEHEBU – ISLAM
|
|
9 |
Ndugu. AGUSTINO AELEA
|
MWAKILISHI WA VIJANA (ME)
|
|
10 |
Ndugu NASMA HUSSEIN
|
MWAKILISHI WA VIJANA (KE)
|
|
11 |
Ndugu. EMMANUEL A. SELLA
|
ELCT – KIZAZI KIPYA
|
|
12 |
Ndugu. LILIAN MAIKO
|
MWAKILISHI WA WAVIU
|
|
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.