RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA.
Leo 24 Mei, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiwa ameambaametembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa Mahakama ya haki za binadamu na watu barani Afrika unaotekelezwa eneo la Lakilaki, Kata ya Kisongo Wilayani Arumeru.
Mradi huo ulioanza kutekelezwa 28/ 08/ 2023 kwa gharama ya shilingi bilioni 62.9 ukijumuisha majengo sita, unatarajiwa kukamilika kabla ya mwisho wa mwaka huu 2025.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.