TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Kumb.Na. MM/AR/S.20/12/110 22.06.2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha anapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi ya:-
Zilizotangazwa kupitia Tangazo lenye Kumb.Na. MM/AR/S.20/12/106 la tarehe 24 Mei, 2023 kuwa Usaili umepangwa kufanyika kama ifuatavyo:-
Na |
Kada |
Tarehe ya Usaili wa Vitendo |
Tarehe ya Usaili wa mahojiano ana kwa ana |
1 |
Dereva II
|
02.07.2023 |
03.07.2023 |
2 |
Mwandishi Mwendesha Ofisi III
|
02.07.2023 |
03.07.2023 |
Aidha, kila mtahiniwa anatakiwa kufika na vyeti halisi (original) alivyoombea kazi.
BOFYA KIUNGANISHI, KUSOMA ORODHA YA MAJINA
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.