• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mpango Mkakati

Kwa mujibu wa wa sheria ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM) ya mwaka 1982 katika kifungu 7 hadi 12 vinatoa uhalali wa uwepo wa MSM pamoja na majukumu yake.  Sambamba na hili, ili MSM ziweze kutimiza wajibu wake zinapaswa kuwa na Mpango Mkakati (MK) “Strategic Plan”.

Mapango Mkakati:

Mpango Mkakati unaweza kutafsiriwa na kuelezewa kwa mitazamo tofauti kwa kutegemea maana halisi kwa kila mtu au taasisi. Kwa lugha nyepesi twaweza sema MK ni ramani inayoonyesha njia za kupita ili kufika sehemu iliyokusudiwa na mtu au taasisi.

Umuhimu wa Mpango Mkakati:

Zipo sababu nyingi za kuhitajika kwa Mpango Mkakati, kwa uchache tu baadhi ya kusudi la kuwa na MK ni; -

  • Kuonyesha malengo ya tasisi,
  • Kutoa uelekeo thabiti wa taasisi kutoka katika mipango na kuwekwa kwenye matendo,
  • Kutoa mawasiliano ya kimkakati kwa watumsihi wa taasisi
  • Kuonyesha na kuainisha vipaumbele vya matumizi au mahitaji ya rasilimali fedha.
  • Hutumika katika mpango wa bajeti wa mwaka mmoja (MTEF).

 

MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI:

Halmashauri ya Arusha inaendelea kufanyiakazi zoezi la uhuishaji wa Mpango Mkakati wake wa miaka mitano 2016/2017 – 2020/2021. Aidha, uhuishwaji huu unafanyika baada ya kumalizika kwa muda wa Mpango Mkakati wa mwaka 2011/2012 – 2015/2016.

Sababau kuu iliyopelekea uhuishaji wa Mpango Mkakati ni kumilika kwa muda wa Mpango Mkakati wa 2011/2012 -2015/2016. Sababu nyingine muhimu ni pamoja na;-

  • Kubadilika kwa mazingira, sera na mipango ya kitaifa na kimataifa,
  • Mapungufu na changamoto zilizojitokeza kwa Mpango Mkakati wa awali.

MPANGO MKAKATI - KISWAHILI KWA UFUPI.docx


Bofya hapa kupakua Mpango mkakati.pdf

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.