KATAZO LA MATUMIZI YA MIFUKO & VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi anawatangazia Wafanyabiashara na Wananchi wote, kusitishwa kwa matumizi ya MIFUKO & VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI isiyoruhusiwa kisheria.
Kwa yeyote mwenye Mifuko au VIFUNGASHIO hivyo anatakiwa kuisalimisha kwenye OFISI ZA MAAFISA WATENDAJI WA KATA.
Atakayekutwa akitumia na Mifuko/Vifungashio hivyo,hatua za Kisheria zitachukuliwa dhidi yake ikiwa ni pamoja na kulioa faini kwa mujibu wa Sheria.
ZINGATIA UTII WA SHERIA BILA SHURUTI
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.